MAMBO KAMA YALIVYO NJE YA TANZANIA

Saturday, 22 October 2011

MAKANDE YA KISAUZI

06:12 By Mindset


Mambo kadhaa ambayo mtu ukitembelea nje ya Tanzania ni aina tofauti za vyakula ambavyo havipo bongo. Ila kuna baadhi ya nchi waweza kukuta aina fulani ya chakula ambacho hata bongo kinapatikana lakini nchi husika au sehemu husika kinaandaliwa tofauti.

Mfano, pichani ni matayarisho ya KANDE ambapo kwa hapa Afrika Kusini inaitwa SAMP. Hapa hiyo SAMP inachanganywa na viazi Ulaya, Vitunguu, Pilipili hoho, nyanya, samaki, na hata kama nyama mbalimbali kama vile kuku ipo unaweza Kumix. Maharage na Mahindi yaliyokobolewa yapo katika mchanganyo huo.
Kwa hapo pichani, bado samaki na michanganyiko mingine ilikuwa haijawekwa !!!
Mdau, Sauzi

0 comments: