MAMBO KAMA YALIVYO NJE YA TANZANIA

Thursday, 27 October 2011

MTOTO ALIYEZEEKA KABLA YA WAKATI WAKE

09:29 By Mindset

Msikilize mtoto huyu wa pekee Afrika kukumbwa na ugonjwa wa kuzeeka mwili. Ana miaka 12 lakini tayari ana mwili wa kikongwe.
Cha kustaajabisha ana imani kubwa na anajitambua na anaamini kuwa atafika mbali na malengo yake makubwa ya kimaisha.
Mungu ni Mkubwa..!

0 comments: