MAMBO KAMA YALIVYO NJE YA TANZANIA

Thursday, 27 October 2011

MTANZANIA ASHINDANIA TUZO ZA UBUNIFU HUKO USWISI

09:20 By Mindset

Huyu ndiye Awadh Milasi
Hapa ni mwanzo wa 'presentation' yake huko Uswisi
Awadh Milasi, muanzilishi na mkurugenzi wa Youth for Africa, ni mmoja wa vijana toka nchi mbalimbali duniani wapatao 35 walioshiriki katika kuwasilisha miradi ya ubunifu inayoweza kusaidia jamii ambapo mshindi atapata kitita cha CHF 50,000 ambazo ni wastani wa shilingi za Kitanzania 104,250,000.

BOFYA HAPA kusikiliza ubunifu wa kijana huyu wa Kitanzania.

0 comments: