MAMBO KAMA YALIVYO NJE YA TANZANIA

Tuesday, 27 December 2011

VIDEO HII YA KIHINDI NI MUHIMU KUINGALIA HADI MWISHO

07:53 By Mindset


Video hii iliyotengenezwa huko India, ina mafundisho makubwa sana kuhusu namna watu wanavyo Chat kwa mitandao mbalimbali hasa pale majina halisi ya wahusika hayaonyeshwi.

Pia kwa wazazi, inabidi kujifunza kuchunguza mienendo ya vijana watoto wenu wanapotumia mitandao mbalimbali kama vile facebook, twitter, yahoo messenger n.k

Utamu wa Video Hii Upo Mwishoni, iangalie mpaka mwisho.

Kama Una Maoni, tafadhali tuandikie hapo chini palipoandikwa COMMENTS.
N.B: UKIBOFYA HIYO VIDEO KUICHEZA IKIGOMA, BOFYA PALIPOANDIKWA
 Watch on YouTube.

0 comments: