MAMBO KAMA YALIVYO NJE YA TANZANIA

Wednesday, 26 October 2011

WATANZANIA WAHITAJI KURA ZAKO - TUZO ZA CHANNEL O

10:10 By Mindset

Ilunga Khalifa aka CPwaa

Ambwene Allen Yessayah aka AY
Sarah Kaisi aka SHAA
Wanamuziki wetu wa Kitanzania hapo juu wanakaribia kupata tuzo za muziki za Channel O za mwaka 2011, wanachohitaji ni kura yako na yangu ili waweze kushinda tuzo hizo. Hima hima jamani tuwape kura watanzania wenzetu ili waweze kung'ara popote pale nje ya Tanzania.
Bofya kwa hapa chini ili uingie kwa website ya kupiga kura:
Kumpigia Kura CPwaa
Kumpigia Kura AY
Kumpigia Kura SHAA

0 comments: