MAMBO KAMA YALIVYO NJE YA TANZANIA

Friday, 21 October 2011

MWISHO WA DUNIA SI NDIO LEO ?????

12:19 By Mindset


Kwa mujibu wa babu huyo hapo pichani - Harold Camping, mwisho wa dunia ambao ungetakiwa kuwa Mei 21,2011 ulihamishiwa siku ya leo, na kwamba leo 'wateule' watanyakuliwa na dunia itaangamizwa.
Mzee huyu ambaye ni mchungaji wa muda mrefu toka huko California, USA, kwa sasa anasumbuliwa na maradhi na kwa mujibu wa website yake, anauguzwa na mkewe mpendwa huko kwake California. Mhandisi huyu mstaafu, alidai kuwa 'mahesabu hayakukaa sawa' mwezi Mei , akadai kuwa 'mahesabu' yake ya uhakika ni kuwa leo Oktoba 21,2011 dunia inafika mwisho.

Habari zaidi BOFYA HAPA

0 comments: